Dini nchini Kenya

Dini nchini Kenya
Ukristo
  
82.5%
Uislamu
  
11.1%
Dini za jadi
  
1.6%
Kupunguza: CIA World Factbook (2009)[1]

Dini nchini Kenya kwa jumla zinaishi kwa amani, ingawa miaka ya hivi karibuni baadhi ya Wakristo waliuawa na wafuasi wa Al Shabaab.

Upande wa takwimu, kulingana na sensa ya mwaka 2009, asilimia 82.5 ya wakazi wa Kenya walikuwa Wakristo (asilimia 47.4 Waprotestanti, asilimia 23.3 Wakatoliki, asilimia 11.8 Wakristo wa madhehebu mengine mbalimbali), asilimia 11.1 ni Waislamu, asilimia 1.6 ni wafuasi wa dini za jadi, asilimia 1.7 ni wa makundi mengine ya dini, na asilimia 2.4 wanadai hawana uhusiano na dini yoyote ile.[1]

  1. 1.0 1.1 "The World Fact Book: Kenya". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-31. Iliwekwa mnamo 21 Juni 2014.

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search